Monday, August 15, 2016

KWA WATUMIAJI WA ANDROID NA SMART PHONE

Tags

Kwa Wale wenye simu zao za Android au Smart Phone huu sio muda wa kutupa simu ulio ona umeichoka simu yako uliyo ichoka unaeza kuitumia kama Security Camera nyumbani kako.
Fanya yafuatayo ili ueze kutumia simu yako kama security camera :



1:Kwanza kabisa utatakiwa uwe na simu mbili za android au uwe na simu moja pamoja na Computer
2:Unahakikisha simu zote zina lani zenye bando au iwe imeunganishwa kwenye Internet
3:Ingia Play Store ya simu yako
4:Download software ya Home security Camera for Android
                                                                                                                                                  Chagua hiyo ya kwanza ya Alfred ndo nzuri
5:Baada ya kuidownload install  application yako
6:Fungua application yako Jaza vitu vinavyo hitajika ambavyo ni E-mail address yako na E-mail utakayo ijaza sehemu moja utatakiwa kuijaza kote  

7:Chagua Katika simu zako hizo ipi unataka iwe kwa ajili ya kuangalilia na ipi iwe kamera 


N:B ; Vitu vyote hivi unatakia uvifanye katika simu zote mbili  au hata kwenye computer unafanya hivyo hivyo 
8:Hadi hapo utakuwa umemaliza kazi kwani simu uliyo ichagua iwe kamera utaiweka popote pale utakapo taka cha msingi chaji iwepo yakutosha  
       Nawasilisha 


EmoticonEmoticon