Monday, September 5, 2016

Jinsi ya kuandika SMS ijitume

Jinsi Ya Kuandika Meseji Zitakazojituma Zenyewe Baadae


Siku hizi maisha yanakimbia sana na kila kukicha majukumu yanaongezeka kwa kasi ya ajabu, ni rahisi sana kusahau baadhi ya ratiba kama kufanya mawasiliano na watu wako wa muhimu. Hapa ndipo umuhimu wa kuwa na uwezo wa kuset meseji zinazojituma unapokuja.


Sunday, September 4, 2016

Ahadi za Rais Magufuli Zenji

MO Blog imekuandika mambo aliyoyaahidi Rais John Pombe Magufuli wakati akihutubia wananchi katika viwanja vya Kibanda Maiti kisiwani Unguja ni pamoja na kuifanya Zanzibar kuwa makao makuu ya viwanda vya samaki na hoteli za kitalii.

Kutoka ofisi za CUF

Jeshi la Polisi limelazimika kufyatua risasi angani na kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF) wanaodhaniwa kuwa ni wafuasi wa aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho Prof. Lipumba waliokuwa wakimzuia mwenyekiti wa muda wa CUF, Julius Mtatiro, kuingia ofisini eneo la Buguruni.

Saturday, September 3, 2016

Kampuni ya Acer

Kampuni ya Acer ya nchini Taiwan, imeweke rekodi baada ya kuzindua Laptop ya kwanza (Predator 21X) yenye kioo chenye mikunjo (curved).

Kampuni ya Acer

Kampuni ya Acer ya nchini Taiwan, imeweke rekodi baada ya kuzindua Laptop ya kwanza (Predator 21X) yenye kioo chenye mikunjo (curved).

Tuesday, August 30, 2016

How to Secretly Turn Off Your Android Device By sending A Single Text Message

How to Secretly Turn Off Your Android Device By sending A Single Text Message

With This Text Message Bypass Android Lock Screen Without Data Loss

With This Text Message Bypass Android Lock Screen Without Data Loss

Note: This Trick may or may not work on some device. We have personally tested this and it works fine for us.

Monday, August 29, 2016

MSIMAMO WA LIGI KUU

video mpya ya juacali

Juacali-safsana

Arsenal transfer rumours: Antoine Griezmann and Kostas Manolas


Which are the most credible Arsenal transfer rumours right now?

KWA MASHABIKI WA YANGAA

magazeti ya leo

SOMA MAGAZETI YA LEO

KATUNI KATIKA MAGAZETI YA LEO








Saturday, August 27, 2016

Mwenyekiti wa Yanga ateua kamati ya mashindano

Yusuf-Manji-002
Mwenyekiti wa klabu ya Yanga ametangaza kamati mpya ya mashindano ambayo imeanza kazi yake mara moja.

Matokeo ya mechi za jana ya EPL

Matokeo ya mechi za jana  ya EPL ikiendelea kutimua vumbi

Tanazia news paper To day

Read the head line of Tanzania news paper to day

Friday, August 26, 2016

tanzania news paper to day

Magazeti ya leo tanzania

How to Access Blocked Websites, Unblock Restricted Sites

How to Access Blocked Websites, Unblock Restricted Sites



Commonly we can’t get to couple of websites from our work place, school and so on. 
Now and then couple of websites will be blocked by our ISP or numerous be 
because of some nation limitations. There are numerous workaround routines 
utilizing which you can get to blocked websites, the beneath we recorded some
 first class strategies to Access Blocked Websites from anywhere in the world.

How to Stop WhatsApp From Giving Facebook Your Phone Number



WhatsAppFB.jpg

WhatsApp users to receive adverts


WhatsApp

WhatsApp says it will begin sharing more data with Facebook and will start letting some companies send messages to users.